Job 16:12-14


12 aMambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja;
amenikamata shingo na kuniponda.
Amenifanya mimi kuwa shabaha yake;

13 bwapiga upinde wake wananizunguka.
Bila huruma, huchoma figo zangu,
na kuimwaga nyongo yangu juu ya nchi.

14 cHuniponda tena na tena;
hunishambulia kama shujaa wa vita.

Copyright information for SwhKC